Dodoma Store ni programu inayoendeshwa na Kampuni ya DESERT FILM UNIT iliyoko Dodoma. Malengo yetu ni kama ifuatavyo;- i-Kukuwezesha wewe mteja kupata bidhaa unayohitaji kwa urahisi, bila ya kupoteza muda wako. ii-Kuwainua wafanya biashara wadogo na wa kati. iii-Kuwaimarisha wafanya biashara wakubwa wazidi kukaa kileleni kwa muda mrefu.
ClientDesert Film Unit
Client AddressDododma, Tanzania
Url/Link: View project
Tags:development